Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana,
Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira, Wakati huo TV hazikuwepo tulikuwa tunawekewa mikanda ya mpira hasa World Cup na kwa sisi tulikuwa...