miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  2. B

    Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  3. Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

    Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022. Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
  4. M

    Kwa tabia binafsi ninazozijua za Waliooana kwa Mbwembwe Leo, Ndoa yao ikidumu Miezi 6 tu najipeleka kwa Al-Shabaab au Boko-Haram wakanimalize

    Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
  5. Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  6. Netflix yaachisha kazi wafanyakazi 450 ndani ya miezi 6

    Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150. Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
  7. Miezi 6 baada ya kumaliza chuo ni moja ya vipindi vigumu sana

    Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia, Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
  8. S

    Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

    Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo. Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
  9. Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?

    Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani. Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili. Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi? Mwenye majibu, tusaidie.
  10. Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

    Wakuu.... Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini. Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao. Sasa lengo na...
  11. Marekani yafungua Ubalozi wao ndani ya Kyiv baada ya kuufunga takriban miezi 3 iliyopita

    Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice. When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
  12. Mwanariadha wa Ujerumani ahukumiwa kifungo miezi 6 kwa SMS za vitisho kwa Wanawake waliowatongoza wakamkataa

    Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya. Weiss Marvin Valentin, 25, alitenda kosa hilo mwaka 2022 kwa kutoa matamshi ya kukera na kutishia kusambaza...
  13. Waziri Mkuu Majaliwa kutoa maagizo kwa Mahakama kuhusu mashauri yote ya Watoto, yupo sahihi na itasaidia?

    Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo Mahakama. Unaweza kuisoma habari yenyewe hapo chini, nakubali kweli hoja yake ni nzuri na inaweza kusaidia...
  14. Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  15. Kampuni Shell yatangaza faida ya Dola Bilioni 9 kwa miezi 3 Iliyopita

    Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
  16. M

    Umoja wa Ulaya utasusia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi 6. Urusi yawakebehi kwa kusema wataendelea kuyanunua kupitia nchi nyingine kwa bei juu!

    Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana zenyewe zilisema ""piga ua hawawezi kuachana na mafuta ya Urusi". Lakini nchi ya Urusi imezikebehi...
  17. Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

    Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora. Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
  18. Biashara - faida pande zote kwako na kwangu ndani ya miezi mitatu

    Habari, Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride). Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...
  19. M

    Vijana watano waliopotea tangu Jan 20 hawajulikani walipo. Miezi mitatu imepita sasa

    Au ndio kama zama zile?
  20. P

    Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

    Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi, Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine! Afya yake imeshachokonolewa, Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!! Muda utaongea!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…