miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. Vodacom Tz walikuwa na kawaida ya kurekodi calls zetu kwa sasa hasa miezi ya karibuni wameacha sijui wamepatwa na nini?

    Shalom, Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na...
  2. Netanyahu alia na Marekani kuhusu msaada wa silaha. Miezi minne sasa imepita msaada hakuna

    Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF. Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
  3. R

    Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

    Ni tatizo gani na matibau yake ni yapi. Tafadhali mwenye fununu
  4. G

    Simu yangu iliyoharibika nimeiweka ndani kwa miezi minne lakini kwa amani nayoipata sitamani tena kuitengeneza, peace of mind ni kitu muhimu sana

    Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae. simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne. Kwa sasa amani...
  5. Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

    Habari wadau hivi maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?
  6. A

    KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  7. M

    SoC04 Hakikisha unaweza kuishi miezi sita bila mshahara na usiathirike, hapo utakuwa mstaafu mzuri ajaye

    Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
  8. N

    Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

    Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela...
  9. Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  10. B

    Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

    Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000. Kama una...
  11. A

    Sitashangaa 'Internet' kuendelea ya kubahatisha miezi kadhaa ijayo

    Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa. **Ushuzi umepata mjambaji
  12. K

    Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo? === Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
  13. Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  14. K

    Miaka 3 na miezi 4 imeisha hakuna Bandari ya Bagamoyo wala LNG. Je, ni sawa kusema Hayati Magufuli alikuwa anakwamisha?

    Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani. LNG nayo haikuanza. Nakumbuka wakati wa magufuri ilibidi watangazi kazi ya mshauri mkuu wa masuala...
  15. Nimelipwa deni langu Tsh. Milioni 1.3 baada ya miezi 6. Nifanye uwekezaji gani?

    Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya pesa. Malipo yenyewe ni madogo tu ni milion1 na laki tatu, eneo nililopo ni Mwanza tayari...
  16. Waziri Bashungwa atoa miezi miwili kwa CRB na NCC kuunda Mabaraza ya Wafanyakazi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
  17. Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  18. Mpenzi wangu ameniibia laki 5 akakimbilia Dar, popote alipo nampa salamu kwetu ni Kigoma

    Penny buana me nina makasiriko. Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar. Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo. Simu hapokei. Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa? Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya...
  19. Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

    Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka. Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana. Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza. Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
  20. B

    Heche: Nyamongo haina mbunge, miezi 3 wauawa wananchi 11

    John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa katika kipindi cha miezi 3 na mbunge hajapiga kelele, hatuwezi kunyamaza hili jambo liendelee ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…