mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro - BASATA Vibes Kutikisa Mikoa Yote Nchini

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - BASATA VIBES KUTIKISA MIKOA YOTE NCHINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lihakikishe kuwa Mradi wa Baraza hilo ujulikanao kama BASATA Vibes unawafikia Wasanii mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar ili azma ya Serikali ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Tanzania na tamaduni zake

    Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili. Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka. Mwanza mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali sio maziwa. Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

    Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya. Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi. Ila sasa huku mikoa ya kanda za...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kutoa Chanjo ya Polio kwenye Mikoa inayopakana na nchi jirani

    Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu. Ofisa Program Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Penford Joely amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kuhusu kampeni ya kuanza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa wakuu wa mikoa na wakurugenzi unanukia, jiandaeni kiroho na kimwili

    Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri. Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Hata Mikoa mingine ya Tanzania inahitaji Uitembelee na siyo wa Arusha tu pekee mpaka wanaanza Kukuchoka sasa

    Ngoja taratibu nianze kuangalia Arusha kuna Rasilimali gani na labda unaweza Kuwekeza katika lipi Ukishirikiana na Wazungu ( hasa Wamarekani ) na Waarabu ( hasa wa Yemen na Dubai ) ili GENTAMYCINE nisije kuwa Namlaumu tu Mtu bure.
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Tax awapa Wakuu wa Mikoa mbinu za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi katika Mikoa yao. Dkt. Tax ametoa mbinu hizo tarehe 26 Agosti, 2023 wakati wa Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema kuna Makundi yanatengenezwa kufanikisha Upigaji pesa za Serikali vinginevyo mfumo huo usingeishi

    Fuatilia matangazo haya ya moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mw. Nyerere, Kibaha - Pwani. https://www.youtube.com/live/6w995GGGrS4?si=8EBhTwCrgxbyhJNG Samia...
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023 Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika Mikoa mingine ni Dodoma...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...
  12. JamiiForums Tanzania Kugawa gawa Mikoa Tanzania

    Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye Hotels na Lodges hasa mikoa hii. Mablanket yenu huwa mnafua kweli?

    Arusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa. Haya mablanket yenu huwa mnafua kila mara kweli? Kuwa kila anapoondoka mteja mnabadilisha mnaweka jingine? Au tunaendelea kulalia na sisi wengine tukija? Mimi sioni dalili ya kuwa haya yanabadilishwa. Nikiangalia hivi sioni kabisa hizo dalili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa. Upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

    Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa, upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa Mfano: Mbagala inafanana kiukubwa na mkoa wa KILIMANJARO, Manyara na Singida, pia imechangamka zaidi Dar is everything, ukishindwa kuwa tajiri, wewe ndio mwenye tatizo. NB: NI MTAZAMO TU, TUSIJENGE CHUKI
  15. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Ukanda wa Pwani kwa chumaulete hawajambo!

    Chumaulete kwa mikoa mingi ya Ukanda wa Pwani ni kama pension kwa wazee! Sijui ni kwasababu ya uvivu, kutopenda kujishughulisha na kazi especially kwa wanzee japo kuna hata vijana nao wana hizi tabia. Yaani usiombee ufungue biashara kwenye hii mikoa mfano Dar (pembezon mwa mji) ambapo wenyeji...
  16. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Mkutano Julai 22, 2023 unaandaliwa na UWT Mkoa wa Arusha kushirikisha Manyara, Kilimanjaro na Singida ukihusishwa na DP World

    Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) ni Wagumu 'Kurogeka' na Wanawake kama wa Mikoa mingine?

    Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi. Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma )...
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Maeneo nje ya Jiji la Dar es Salaam yalikabiliwa na upungufu wa Mafuta ya Petroli mwaka 2023

    Kuna maeneo fulani nimepita ya mkoa wa dodoma wilayani huko; nimekuta kuna msururu mrefu sana wa vyombo vya moto kwenye moja ya petrol station. Nikajaribu kuuliza kuna shida gani hapa? Wenyeji wanasema mafuta ya petrol hamna kabisa wilayani hapo. Baadhi ya vituo vya mafuta vimesitisha huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imeamua kukimbilia mikoa ya Kusini kutafuta uungwaji mkono DP World?

    Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii. CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…