Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa katika mikoa minane kuanzia leo Jumanne, Desemba 3, 2024.
Mvua hizo katika mikoa hiyo ya Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe na Manyara.
Taarifa hiyo ya TMA iliyotolewa leo Desemba 3, 2024 imetahadharisha...