mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

    Ujomile musani!. Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23. Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar. Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro. Hebu...
  2. Watu wa mikoa ya Arusha,Moshi,Geita,Mwanza na Mara 23/9/2023 Nasisi tuandamame.

    Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake. Watu wa mbeya hii inawahusu sana. MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
  3. Mikoa ambayo itakuwa na competition kûbwa Kutokana na wasailiwa kuwa wengi Vs mikoa yenye competition ndogo

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written. Choose wisely. Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha...
  4. M

    Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

    Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha...
  5. Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  6. Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi. Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi? Yaani...
  7. G

    Mikoa inayoongoza kwa watu warefu

    Ni vigezo vya wastani, sio kwamba mikoa hii haina watu wafupi, on average kwa wanaume kuanzia futi 5.8 (177 cm) na wanawake futi 5.4 (165 cm) Ni takwimu tu, mikoa mingine hawana watu warefu ila kuna sura nzuri, waongeaji, nguvu za mwili, uwezo mkubwa wa akili, n.k. ni vitu ambavyo...
  8. Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  9. K

    Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  10. Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  11. K

    KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  12. Mikoa inayoongoza kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na kwenda kuoga kwa kijola au kanga moko

    Shalom, Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya mikoa na wilaya zake hapa Tanzania kuna mikoa ni kiboko kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na nyakati za kwenda kuoga kwa kuvaa kijola laini au kanga moko na kuacha chuchu au maziwa yakidamshi. Eeh bana wewe kuna wake za watu wako vizuri kwa...
  13. B

    ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Baadhi ya Mikoa

    24 July 2024 ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega Mkoani Simiyu Julai 23, 2024. Akiwa katika ziara ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni siku ya pili tangu...
  14. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  15. Ziara ya Siku 3 tu na Mafua juu mwakani kutakuwa na Ziara Mikoa yote na Vijiji Laki Saba na Ishirini je, utaweza kwa Mafua haya ya mara kwa mara?

    Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
  16. Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

  17. Top ya 5 mikoa iliyongoza kutoa talaka/migogoro kwenye ndoa Tanzania

    1-Dar es salaam. 2-Pwani 3-Morogoro 4-Dodoma 5-Tanga Chanzo :jukwaa la ndoa Tz
  18. B

    TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  19. N

    Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

    Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake, Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw...
  20. Pre GE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…