Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa ulaya umeipatia Tanzania Msaada wa Billion 97,Ambazo zitatumika katika maeneo matano ,ambapo miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na uboreshaji wa maendeleo endelevu katika Miji kama vile Kwanza,Tanga na Pemba.
Lakini pesa hizo zitatumika pia katika kuwawezesha...