Habarini,
Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21.
Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?