Uboreshaji unaoendelea katika sekta ya bandari nchini umeongeza ufanisi na kati ya Oktoba hadi Desemba idadi ya meli zilizohudumiuwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimeongezeka. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa alisema jana mjini Dodoma kuwa kipindi hicho meli zilizohudumiwa na TPA...