Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika wafuate walau zamu ya mgao wa kimyakimya.hayo ya Bashiru sizani kama yanatusaidia.