Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji.
Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...πππ Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
Habarini wanajamvi,
Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi.
Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World.
Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini.
Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!.
Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa.
Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.
Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.
Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya.
Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika...
Ni jambo jema kupeleka mechi kubwa katika maeneo tofauti ili watu wa maeneo ya huko ambao huwa hawana nafasi ya kuziona mechi kama hizo waweze kupata fursa hiyo. Shida kubwa inakuja kuwa viwanja hivyo haviandaliwi vizuri ili viendane na hadhi ya mechi husika. Ingekuwa vyema mechi kama hizi...
Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa.
Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
Habari ndugu zangu, natafuta kazi au kibarua chochote halali ili niweze kujikimu kimaisha.
Kwa mwenye connection ya kazi au kibarua hasa maeneo ya Ifakara tafadhali naomba aniunganishe.
Habari zenu..
Simba wamesema leo watatawanya bahari kwa wachezaji watakao watambulisha.
Ina maana ni wachezaji wanzuri,sasa simba wajiandae kisaikolojia vinzuri maana yanga watatambulisha namba 6 yao itakuwa boom kwa simba.
Hao wachezaji wa 3 wa simba watafunikwq na mchezaji namba 6 wa yanga...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake.
Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro.
Mmoja ya wachangiaji katika...
Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama,
Ni aina gani ya Samsung.
Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
Jumapili fulani nilikuwa na rafiki yangu mmoja aliyepiga mshindo wa hela ya mahali tumepozi mtaani. Jamaa akaniambia yooh Satoh wacha tukatembee mahali mida ya jioni, nikamuuliza wapi anataka twende maana mimi ni mwenyeji hapa mjini, akajibu twenzetu kidimbwi.
Nilisita maana sikutegemea kabisa...