Uchaguzi wa 1995 nilikuwa mdogo Primary School nakumbuka Mrema alishinda 1995, aliongoza mikoa 7 yenye nguvu Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza, Tanga, Kagera na Tume ya uchaguzi ikafuta matokeo kwenye hiyo mikoa wakaamuru uchaguzi urudiwe tena November kwenye mikoa aliyoongoza Mrema na...