Baada ya kifo cha rais wetu wa awamu ya tatu Ndugu Benjamin William Mkapa, ndipo watanzania walio wengi mbumbumbu kama mimi tumeweza kuelewa haya maneno ya kujenga nchi ni kujenga taasisi.
Lakini ni wazi kujenga nchi ni sawa na kilimo shambani, kuna hatua ya kulima na kupanda, kuna hatua ya...