Taarifa kutoka tovuti ya michezo ya Brazil, UOL, zinaeleza kuwa klabu ya Saudi Arabia, Al-Hilal, inafikiria kuvunja mkataba wa Neymar Jr. mapema mwezi Januari.
Uamuzi huu unachangiwa na majeraha yanayomkabili Neymar, ambayo yamekuwa yakimzuia kucheza mara kwa mara, akifanikiwa kucheza mechi...