Hello!
Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi?
Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada, umeme, ndugu, michango, dharura, mavazi n.k jibu linakuja NEGATIVE.
Wengine wanaamua kukopa walipwe 33%...