Natumai u mzima wa afya mke wangu, mimi naendelea vizuri sema niombee sana ukipata muda, haijawahi pita siku sijakuombea, hivi uko wapi?, unafanya nini?, tutaonana lini?, itakuwa wapi?,,mke wangu roho inaniuma kila nikiwaza kuwa kuna uwezekano mkubwa upo namwanaume saizi, mke wangu napata wivu...