Wakuu,
Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah!
Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana...