Mbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani.
Ratiba zake zote unazijua, na simu yake haina password. Lakini wahenga walishasema, moyo wa mtu ni msitu mnene, amini...