mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Katika kikao kifupi cha makabidhiano ya ofisi, kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya...
  2. Mkuu wa Wilaya Msando apiga marufuku magari ya wagonjwa kuhamishwa kwenye vituo

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amepiga marufuku kwa wakurugenzi kwa kushirikiana na watumishi wa idara ya afya, kuhamisha magari ya wagonjwa kwenye vituo husika na kupeleka sehemu nyingine bila sababu maalum. Mkuu huyo wa wilaya amesema hayo leo Machi 9, 2024 katika Kijiji cha Msomera...
  3. Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na Afisa Elimu

    Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
  4. Katavi: Mkuu wa Wilaya ya Mpanda ahimiza vipaumbele vya Bajeti ya 2024/2025

    Kikao cha Kamati ya Ushauri wilaya ya Mpanda (DCC) Mkoani Katavi kimepitisha rasimu ya Bajeti ya 2024/2025 kwa jumla ya zaidi ya Shilingi Bilioni 53 (Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda zaidi ya Shilingi Bilioni 27 na Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo zaidi ya Shilingi Bilioni 26). Mbali na...
  5. Mkuu wa Wilaya Kinondon ruhusun mchanga utoke Mto Kawe. Vinginevyo tujiandae na rambirambi

    Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
  6. Taifa limechelewa sana kumtumia Upendo Peneza, anafaa kuwa Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya, au mtaalamu mkubwa sana serikalini au balozi

    Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka. Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana. Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi...
  7. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
  8. Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  9. Mkuu wa Wilaya ya Mlele (Katavi) amewataka wavamizi katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amewataka Wananchi wanaofanya shughuli za Kibinadamu katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka kwani milima hiyo ndio yenye uoto wa asili na kutunza vyanzo vya maji. Kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga imetolewa katika Kata ya...
  10. Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid akerwa kukuta mifuko ya saruji imeganda

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Majidi Mwanga amekerwa kwa kutelekezwa mradi wa kutengeneza tanki la maji lenye ujazo wa lita milioni moja ambapo saruji ilinunuliwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huo ilihifadhiwa vibaya na hatimaye kukutwa imeganda. Majidi amefanya ziara ya kutembelea...
  11. Mkuu wa Wilaya ya Same aagiza Shule ya Msingi Kigulunde ifungwe kutokana na kutishia usalama wa watumiaji

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ameagiza kufungwa kwa Shule ya Msingi Kigulunde, iliyopo katika Kata ya Mtii, Tarafa ya Gonja kutokana na kutishia usalama na uhai wa wanafunzi pamoja na walimu wao. Shule hiyo iliyojengwa mwaka 1975, licha ya kukabiliwa na uchakavu wa majengo yake...
  12. Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

    Kuanza nianze kwa kuwashukuru wana Jamii Forums mlio nitafuta PM kwa kunipa pole katika msiba ule mzito. Nawashukuru pia wale mlio kuja PM kunikebehi yakuwa nilikuwa nawasinzigizia nilio wataja kwa kuwahusisha na Mauaji ya mtoto wangu. Ilianzia hapa: Mh. Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi...
  13. Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke lifanyie kazi hili

    Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...
  14. M

    Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  15. DOKEZO Rais, Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi 'wamemuua' ANGEL KESSY Mwanafunzi wa PCB

    Mh Rais, mimi ni raia wa Tanzania na ni mwananchi wako mwema. Naomba kwa masikitiko makubwa tena makubwa nikujulishe tu ya kuwa: Juzi nilipigiwa simu na Mkuu wa Wilaya ya Lindi akinijulisha kuhusu KIFO cha mwanafunzi ANGEL HONEST KESSY. Kwanza nilishangaaa kuona Mkuu wa Wilaya akinipa taarifa...
  16. Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  17. Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  18. Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

    Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi. Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
  19. Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya amemtaka Mwalimu Japhet Maganga kurejea kazini kufuatia Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi, Juma Mkomi kutoidhinisha maombi ya mwalimu huyo kupata kibali cha kuazimwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mabelya, Maganga ni muajiriwa wa...
  20. V

    Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…