Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika
Shule: Tiger Day Care
Wapi: Dar- kinondoni-kawe
Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto.
Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana
Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote...