Klabu ya Singida Black Stars yamtangaza Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mlezi wao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.

Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.

1742828468089.png
 
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.

Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.
Daaaah🤣🤣🤣

Wanatufanya sisi mabwege (kwa sauti ya Mbunge bwege)
 
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.

Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.

Huyo ni mmiliki wa hiyo klabu na anaiendesha kwa fedha za wizi kutoka kwenye tozo tunazokatwa kwenye miamala. Awamu ya sita ni genge la wezi wa mali ya umma wakiongozwa na wanayemuita mama yao
 
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.

Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.

Mlezi.... Mmiliki!! Siyo vizuri kuwageuza watu wazima kuwa watoto.
 
Huyo ni mmiliki wa hiyo klabu na anaiendesha kwa fedha za wizi kutoka kwenye tizi tunazokatwa kwenye miamala. Awamu ya sita ni genge la wezi wa mali ya umma wakiongozwa na wanayemuita mama yao
Duu hii nchi...
Kila awamu ni genge la wahalifu 😁😁
 
Mkitaka tuwashughurikie vizuri wahuni wote, wekeni pembeni Usimba na Uyanga, tusiwachekee wezi.

Hata huyu GSM wamefisadi sana nchi yetu na Home Shopping center yake, ndio pesa zingine anazitakatisha Yanga na hapo huwezi kumgusa tena kwa sababu anawapa furaha Yanga lakini ni mtandao wa majizi tu.
 
Hawa matajiri wenye asili ya Kiarabu majority yao wanatumia Public sympathy kuprotect Weath yao
 
Soon tutambiwa hata KADO BEUREU DE CHANGES ambazo zimesambaa nchi nzima pamoja ESTHER LUXURY COACH sio mali Za Mwigulu bali yeye yupo kama mmoja wa minor shareholders tu
 
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.

Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.

Hii kitaalam inaitwa
"Coming of age"😂😂😂😂

Sema Waswahili wao wanaita "Pembe la Ng'ombe"
 
Wabongo wajuaji sana tani, wao wamesema ni mlezi nyie mnaokataa ni wake zake au
 
Back
Top Bottom