Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.
Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.
Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.
Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na...
Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo.
Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi.
Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam.
Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli.
Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
Wanawake mnaovamia vibabu au matajiri ili mrithi mali wakifa au ili mfaidi, au ili muzalishwe mpate matumizi ya watoto, jueni moja kwamba hakuna gold digger hata mmoja aliyemaliza bila kujuta. jifunzeni kwa wenzenu.
Picha ya kwanza chumba cha wahudumu
picha ya pili Wodi ya wagonjwa
Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
“Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.
Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema...
MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA
MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla.
Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe.
Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
Ndo hivyo jamani!
Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi.
Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.
Hii...
Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili.
Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali, nitawaletea mrejesho hapa.
Habari za asubuhi wanaJF wenzangu?
Ndugu zangu.. binafsi nimekuwa msikilizaji, mfuatiliaji, mtafiti na mchunguzaji wa kila kilichopo au kinachotokea katika nchi yetu. Katika kusikiliza, kufuatilia, kutafiti na kuchunguza huko, nimeweza kugundua kwamba Tanzania tuna Mungu mmoja, mwenye nguvu na...
Kuna mzee mmoja nilikutana naye eneo moja la kazi miaka 12 iliyopita, na katika mazingira ya kazi tulikuwa tukiheshimiana sana, na tulikuwa tukiishi kama familia; leo tukale wapi au kunywa wapi, mara moja moja ilikuwa ni kitu cha kawaida.
Baada ya muda kupita aliamua kung’atuka na kwenda...
Raisi Samia, kwa sababu ya mambo fulani yaliyojitokeza hupa JF Forums, niliahidi kutotoa post tena. Lakini kwa ajili yako nimeamua kuvunja mwiko huo.
Nimefuatilia kwa makini sana yanayoendelea juu ya suala la DP World, jinsi lilivyoshughulikiwa Bungeni, na sasa kufikia hatua ya tamko la TEC. NI...
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Nape ameandika kupitia Twitter
--
MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
NIMESIKILIZA HII HOTUBA YA MBUNGE MPINA AKOSOA YALIYOFANYWA NA NDUGAI AKIWA SPIKA, WAKATI AKICHUKUA FOMU YA USPIKA NA KUTANGAZA KUREKEBISHA MAPUNGUFU
MSIKILIZE NA WEWE UNAWEZA KUJIFUNZA VITU NA HALI ILIVYO SASA NA TULIA ANAVYOONGOZA BUNGE
https://youtu.be/HdOl2bhdsWY
Huu ni mpango kabambe, umeshasukwa umesukika. Kuhusu kudakwa mmoja mmoja, si tetesi tena kwa sababu tayari wapo huko kusikojulikana.
Ishu ni hii, wapewe kesi ya uhaini ambayo hawatotoka kamwe. Tayari mashtaka yameshaandaliwa, wote watakao dakwa imepangwa, ni sarakasi hadi 2025 ipite.
List yao...
Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja
01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara
02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.