mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zekoddo

    Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie.. Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
  2. W

    Muda si mrefu dada zetu watahitaji mume zaidi ya mmoja ili angalau kukidhi haja ya tendo!!

    1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi...
  3. JanguKamaJangu

    Wakati wa Penati, mchezaji akipewa Kadi Nyekundu, wapinzani nao wanatakiwa kupunguza mchezaji mmoja

    Mchezaji wa Timu A akioneshwa Kadi Nyekundu ya moja kwa moja wakati wa upigaji wa penati kwenye mechi ya kutafuta mshindi, utaratibu unatakiwa kufuatwa baada ya hapo ni mchezaji wa Timu B mmoja naye anatakiwa kutoka. Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) linaweka wazi kuwa Mchezaji wa Timu B...
  4. L

    Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  5. benzemah

    Mwelekeo wa Maridhiano Ukitimiza Mwaka Mmoja

    Mazungumzo ya maridhiano kati ya CCM na CHADEMA yalipokewa vizuri na wapenda demokrasia nchini kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aliamua kuwasikiliza Chadema waliosusia na kuona haja ya vyama hivyo kukaa meza moja kuzungumza. Rais Samia kwa mara ya kwanza, alikutana na Mbowe Machi 4, 2022...
  6. Webabu

    Usuluhishi gani huu wa kutomualika mmoja ya wanaogombana

    Saudi Arabia kicks off Ukraine talks that exclude Russia Some 40 countries will attend a meeting in Jeddah to discuss a set of common principles to end the war in Ukraine. Saudi Arabia has kicked off a weekend summit in Jeddah, in which senior officials from some 40 countries – but not Russia –...
  7. BARD AI

    Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa Bosi mmoja

    Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani, Hali hiyo imesababisha kujenga uadui kati ya wafanyakazi wa ndani na waajiri. Hatua hiyo, imesababisha wenye...
  8. H

    DPW na "Madongoism investment" in Tanzania yaani; CCM, Bunge, na Serikali ni kama DPW na DPW ni kama CCM, BUnge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  9. USSR

    Mandonga case study: Je Ni sahihi kwa bondia kupigana mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

    Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili, Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii. Chama Cha ngumi Cha Tanzania...
  10. FaizaFoxy

    Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
  11. B

    CRDB Wakala: Muongo mmoja wa kuwezesha Jamii na kuboresha maisha nchini

    Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj baada ya kuongoza kwa Idadi ya miamala katika kampeni hiyo. Wengine pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB...
  12. Salum Fumo

    Bustani ya Mnazi Mmoja ina kazi gani?

    HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru) Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
  13. benzemah

    Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  14. shadrack lutengano

    SoC03 Kwanini Tanzania haipigi hatua kimaendeleo kama inavyostahili

    Maendeleo, ni hali ya kutoka hatua moja hadi hatua nyingine ambayo ni bora kuliko ile ya awali. Hatua hizo ni zinaweza kuwa ni za kiuchumi,kijamii au kisiasa. Maendeleo hujumuisha maendeleo ya mtu mmoja mmoja,taasisi au nchi. ambapo maendeleo ya nchi au taasisi yanategemea sana maendeleo ya...
  15. Tommy 911

    Biashara ya kutembeza vitumbua au mayai Kariakoo, Mnazi mmoja na Posta

    Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
  16. B

    Rukwa: Nyuki waua mmoja Sumbawanga

    Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
  17. P

    Maandamano Kenya: Mwanaume mmoja aandamana kwa kujifunga mnyororo kwenye nguzo na kutoa kero zake

    Mwanaume mmoja huko Kenya aandamana kwa aina yake leo kwa kujifunga kwenye nguzo na mnyororo na kuanza kuongea kero zake. Polisi walifika eneo la tukio na kujaribu kumfungua ili wamkamte huku watu wengine wakiwa wanarekodi tukio hilo. Polisi walipomuomba ufunguo, akasema mimi sina funguo. Kwa...
  18. B

    Awamu ya tano kulikuwa na Tundu Lissu Mmoja, awamu hii kuna akina Tundu Lissu 1000

    It is trending now. Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi. Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe. Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki. Mdogo...
  19. Replica

    Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  20. Analogia Malenga

    #FIFAfrica23: Muongo mmoja wa kujenga jumuiya ya Kuchagiza Haki za Kidigitali Barani Afrika!

    Jukwaa la kila mwaka ya Uhuru wa Mtandao(internet) Barani Afrika (FIFAfrica) iliyoandaliwa na Ushirikiano wa Sera za Kimataifa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Afrika Mashariki na Kusini (CIPESA) itafanyika Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 27 hadi 29 Septemba 2023. Mwaka huu...
Back
Top Bottom