morogoro

  1. Pdidy

    MISAADA INAYOTOLEWA HANANG NA MOROGORO ITUMIKE KWA WAAATHIRIKA TU.....

    SI VIBAYA KUKUMBUSHANA KKUMEKUWANA BAADHI YA MALALAMIKO HUKO NYUMA MADHARA YANAPOTOKEA WAATHIRIKA KUTOPATA MISAADA WANAYOPEWA VYEM.A TUKIELEKEA CHRISTMAS TUKAMKUMBUKA MUNGU NA KUWA NA HOFU NAE TUNAAMINI WANAOHUSIKA KUPOKEA WATAPELEKA MISSADA SEHEMU HUSIKA YA WAATHIRIWA BILA KUWA NA UPENDELEOO...
  2. Faana

    NMB Morogoro: Mmehamisha Location Kimyakimya?

  3. kikoozi

    Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

    Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024. Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji...
  4. Roving Journalist

    Mafuriko yatokea Rudewa Mkoani Morogoro leo Desemba 5, 2023

    Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Desemba 5, 2023 imesababisha mafuriko katika maeneo ya Rudewa ambayo ni Kata, Wilani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro. Nyumba kadhaa zimeanguka na baadhi ya mali zimeharibiwa kutokana na mafuriko hayo. Kwa sasa mvua imekatika lakini maji yanaendelea...
  5. K

    Natafuta mteja wa iliki na pilipili manga whole sale, nipo Morogoro mjini

    Nipo Morogoro mjini natafuta mteja wa iliki na pilipili manga, iliki zipo zaidi ya kilo 500, bei tunakubaliana
  6. The bump

    Mkazi wa Morogoro Mjini mwenye smartphone inayotoa picha nzuri, nakupa 12,000 unipigie picha Unitumie

    Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali. Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
  7. Mad Max

    Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

    Salam wakuu. Hii special kwa wakazi wa Dar na Pwani. Najua mnakuaga busy sana, sana na kuna muda mnakosa ata muda wa kupumzisha akili na mwili, sababu ya muda na kipato kwa wengine. Kuna hii Hiking Day trip ya kwenda Morogoro na kurudi, unaweza have some fun na uka relax sana mwili na akili...
  8. Frank Ishengoma

    Mbunge Abood alaani vikali ukatili uliofanywa dhidi ya mama mjasiliamali

    MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI. Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alipolazwa Mama Bi Aziza Juma Mjasiliamali ndogondogo mara baada ya...
  9. Kurunzi

    Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

    Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  11. Mr Dudumizi

    Vijumba vilivyopo pembeni ya barabara ya Morogoro Road vinatia aibu na fedheha kwa Watanzania

    Pamoja na kujitahidi kuwa na barabara za kisasa ambazo zinachangia kupendezesha mandhari ya nchi, lkn muonekano huu wa vijumba vilivyochoka pembezoni mwa barabara vinafanya upendezaji huo uwe ni sawa na mtu alievaa nguo nzuri, lkn chini amevaa viatu vichafu na vya kutoboka. Kwa wenzetu mfano...
  12. robinson crusoe

    Nani mmiliki wa kiwanda kipya cha Tumbaku ndani ya eneo la wazi Morogoro?

    Tulianza na shopping mall Dodoma, sasa tena ni kiwanda cha Tumbaku. Yasemekama wahusika ni wale wale! Ukiingia mjini Morogoro, umbali kidogo kutoka mzunguko wa Msamvu kuelekea Iringa, unakutana na daraja la reli na pembeni yake unakuta shughuli za ujenzi wa kiwanda kipya cha Tumbaku. Eneo hili...
  13. DeMostAdmired

    Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  14. Erythrocyte

    Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji. Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la...
  15. J

    Utapeli Mitandaoni wakithiri Morogoro na Rukwa

    Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro Kuna nini maeneo haya? 1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi? 2.Vyombo vya...
  16. GENTAMYCINE

    85% ya Wezi / Matapeli wa Mitandaoni ( Tuma kwa Namba hii ) wanatokea / wako Ifakara Mkoani Morogoro

    "Huwa wanakaa katika Nyumba Moja huku Wake zao wakiwa busy kuwapelekea Vyakula. Na baadhi yao ni Wasomi wakubwa sana tu hadi wana Doctorates ( PhD ) zao" Nukuu hii nimeitoa EFM Radio Asubuhi hii baada ya kumsikia Bwana Innocent Mungi Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Habari na...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kichangani Morogoro Apongezwa kwa ubunifu wake wa kuboresha Zahanati hiyo

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, CDE Fikiri Juma, amempongeza Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kichangani kwa ubunifu wake wa kuboresha Zahanati hiyo. Pongezi hizo amezitoa hivi karibuni Oktoba 2023 katika ziara ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya...
  18. Powell Gonzalez

    Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  19. K

    Safari ya treni ya mwendokasi Dar mpaka Morogoro itaanza lini?

    Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
  20. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
Back
Top Bottom