morogoro

  1. B

    DOKEZO DAR: Vituo vya daladala Morogoro Road hakuna sehemu ya abiria kupumzikia

    NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu. Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi ndiyo yalianza kufanya kazi zake hapa Dar es Salaam, utagundua kwamba vituo vya daladala za kawaida...
  2. A

    House4Sale Nyumba (bado haijaisha) inauzwa Morogoro

    Nyumba ipo morogoro kihonda Km 1 na nusu kutoka dodoma road. Nauli kutoka morogoro mjini 500 Ina vyumba vitano,kimoja master. Ukubwa kiwanja mita 25 kwa 20. Milioni 35. Mazungumzo yapo
  3. Li ngunda ngali

    Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  4. Kyambamasimbi

    Kwa wenyeji wa Morogoro, naomba muelekeo wa eneo linaitwa Kihonda Mkundi, Makunganya

    Habari wanajf, Kwa wale wenyeji wa Morogoro mjini tu, mwezi ujao natarajia kufiko Morogoro ila sehemu ninayoenda ni Kihonda Mkundi na Makunganya. Naomba msaada nikifika MOROGO mjini na Basi nitaenda uelekeo gani? Naomba kuwasilisha.
  5. ChoiceVariable

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yazika Marehemu 52 wasio na ndugu, inasikitisha

    SERIKALI wilayani Morogoro kupitia Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imelazimika kuwazika marehemu 52 wasio na ndugu kwenye makaburi ya Kola katika kipindi cha mwaka 2022/23. Taarifa hiyo imetolewa na Meya wa Manispaa hiyo, Pascal Kihanga katika mkutano wa kawaida wa mwaka wa Baraza la...
  6. Stephano Mgendanyi

    Wafadhili Kutoka Uswisi Wachimba Visima vya Maji 4 Jimbo la Ulanga, Morogoro

    WAFADHILI KUTOKA USWISI WACHIMBA VISIMA VYA MAJI 4 JIMBO LA ULANGA, MOROGORO Wakazi wa wilaya ya Ulanga wamepata visima vya maji vinne kutoka kwa wafadhili kutoka nchini Uswisi ambao wamekuwa wakifanya hivyo kila mwaka. Mwakilishi wa wafadhili hao Bi Rubab Jawad Aziz amesema hatua hiyo imekuja...
  7. Smith Rowe

    Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

    Habari wazee, Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7. Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
  8. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  9. Stephano Mgendanyi

    Nchi ya Uswisi Yajitosa Kutatua Changamoto ya Maji Ulanga Morogoro

    AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
  10. Z

    Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

    Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
  11. N

    DOKEZO Morogoro: Mahashrey na wafanyabiashara wa ufuta wanavyoshirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kuhujumu mfumo wa stakabadhi ghalani

    Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
  12. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya TAMISEMI yaridhishwa na Miradi inayotekelezwa na TARURA Morogoro

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dennis Londo ameupongeza uongozi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwekeza miundombinu yenye tija na maslahi kwa wananchi na Taifa katika kukuza uchumi. Mhe. Londo amesema hayo Juni 24...
  13. Blender

    DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

    Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa. Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo...
  14. N

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  15. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya Nanenane - Tungi Morogoro Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi juu ya mpango wa Serikali kukarabati barabara mkoani Morogoro...
  16. O

    Ajali ya Harrier na Fuso yadaiwa kuua wawili Morogoro

    Watu wawili wanadhaniwa kufariki na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Harrier lililogongana na lori aina ya Fuso eneo la Melela Mangae wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Ajali hiyo ni ya tatu ndani ya siku tatu mkoani hapo, ambapo juzi basi dogo aina ya...
  17. Roving Journalist

    Mkandarasi wa Usafi Kata ya Mbuyuni - Morogoro haonekani, hali ya uchafu ni mbaya mtaani

    Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro. Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
  18. Stephano Mgendanyi

    Kiwanda cha Mazava Morogoro Chasisitizwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira na Usalama wa Mahali pa Kazi

    MBUNGE NORAH MZERU ASISITIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA USALAMA MAHALI PA KAZI KIWANDA CHA NGUO CHA MAZAVA MOROGORO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru mnamo tarehe 05 Machi, 2023 amefanya ziara na kutembelea Kiwanda cha Uzalishaji Nguo cha Mazava kilichopo katika...
  19. Sildenafil Citrate

    Ajali yaua watano Morogoro na Kujeruhi wengine 10

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika eneo la Iyovi baada ya gari aina ya Costa iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kujaribu kulipita Lori lililokuwa limeharibika njiani na kugongana na Lori jingine lililokuwa likitokea Mikumi. Ajali hiyo imetokea hii leo...
  20. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro. Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga...
Back
Top Bottom