Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo.
Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
Naombeni kufahamu maeneo yalio pembezoni mwa mji wa Morogoro (isiwe barabara ya kwenda Dodoma) ambayo naweza kupata appartment yenye vyumba 2 na sebule kwa bajeti ya 100,000/= mpaka 130,000/= kwa mwezi. Kuwe na usafiri wa uhakika kwenda mjini.
Ahsanteni.
Habari za zenu Wana Jf
Throw back Tuesday
Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara
Siku moja majira Kama ya saa 8 au 9 baada ya kula msosi nikawa nimekaa kwenye kibaraza Cha mbele ya nyumba...
Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali?
Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.
Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala
Ukiangalia...
Jamaa yangu kati ya mwaka 2011 au 2012 aliwahi kuniambia kuwa kigogo mmoja (kwa sasa ni mstaafu) alisema laiti hoja ya kugawa nchi kimajimbo ingeletwa na mwanaccm yumkini serikali ingelichukua wazo hilo na kufikiri namna ya utekelezaji wake, lakini kwa sababu wazo lilitoka upinzani wala hawana...
Anaandika Almalik Mokiwa
Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM)
Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro.
Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah.
Kauli hiyo ameitoa leo...
Wadau kati ya hiyo mikoa ipi mzuri Kwa familia na makazi na biashara .
Wajameni siitaji majibu ya hovyoo kama mdomo wako ni mchafu sana kapige mswaki kimya a
Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.
Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
Wakati kijana aliyepigwa risasi mkoani Morogoro, Benjamin Shinda (26) akiwa hospitali kwa matibabu, inadaiwa mtuhumiwa bado yupo uraiani.
Shinda (pichani) alidaiwa kupigwa risasi Januari 12, mwaka huu na mwajiri wake.
Akizungumza na Mwananchi jana, Shinda, mkazi wa Mtibwa mkoani Morogoro...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linatarajia kuanza majaribio ya kutoa huduma katika Reli ya Kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro mwezi Februari 2023
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema kazi ya ujenzi wa SGR, awamu ya kwanza kilometa 1,219 kati ya Dar es Salaam na Mwanza na...
Watu wanne wamefariki dunia kufuatia ajali ya lori na gari dogo aina ya Toyota Spacio katika eneo la Kwambe Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha barabara kufungwa kwa saa kadhaa.
Akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu leo Januari 14 Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Majid Mwanga...
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kunyesha kwa mvua kubwa Mkoani Morogoro kuanzia usiku wa kuamkia Januari 13, 2022 hasa katika maeneo ya Kihonda, Mafisa na Soko Kuu la Kingalu.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amesema hakuna taarifa ya kifo ila kuna uharibifu wa mali na kuwa shule...
Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.