Kitendo cha kinyama kilichofanywa na mwalimu/meneja wa shule ya Green City la kumpiga mwanafunzi hadi kupoteza fahamu kwa masaa karibu 20 eti kisa kachelewa masaa machache kuripoti shule Jumapili ni kitendo kinachopaswa kulaaniwa na serikali inabidi ifanye uchunguzi wa shule nyingine zenye tabia...
Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote.
Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%.
Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000...
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb), ameridhishwa na utekelwzaji wa Mradi wa Maji wa Morong’anya unatekelezwa na RUWASA Morogoro Vijijini.
Mradi wa Maji Morong’anya ni miongoni mwa miradi mikubwa 2 ya maji iliyosanifiwa na watumishi wa RUWASA na inayoendelea kutekelezwa na ofisi ya...
Habari wakuu JF!
Iko hivi;
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote.
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko.
Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
Watu watano waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro wametambuliwa wakiwemo mume na mke, ambao pia ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro , Fortunatus Musilimu alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa Desemba 26,2022, eneo la Iyovi, Kata na...
Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya bia 5 na nusu ya mbuzi au ng'ombe choma.
Maisha ni zawadi na maisha ndio haya haya, maisha ni watu...
Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2.
Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
Bohari Kuu ya Madawa MSD inakumbana na changamoto nyingi kufikisha dawa
Hayo yamebainika mkoani Morogoro Tanzania inabidi MSD watumie gharama za ziada kufikisha dawa katika zahanati na vituo vya afya mkoani Morogoro....
Source : Millard ayo
Katika Zahanati Baga kilichoo Morogoro Vijijini...
Mabehewa 22 ya Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) yamedondoka mkoani Morogoro yakiwa na kemikali tani 1,099 za Sulphur Dioxide.
Wataalamu kutoka katika mamlaka mbalimbali za serikali wapo katika jitihada za kudhibiti madhara ya kemikali hizo kwa binadamu na wanyama baada ya treni hiyo...
Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m
Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022.
Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali...
Mkoa wa Morogoro ulifanya uchaguzi wake wa kumpata Mwenyekiti wa Mkoa ambapo rafu mbaya akichezewa mgombea Nasoro Duduma aliyekuwa mmoja wa wagombea.
Baada ya uchaguzi huo uliyompa ushindi James Masunga, baadhi ya wajumbe walionekana kumwoneshea kidole Mbunge wa Morogoro Vijijini, Inocent...
Nasoro Duduma aliyepata Kura 448 amesema uchaguzi huo uligubikwa hila zilizofanywa na baadhi ya WanaCCM hali iliyosababisha wajumbe kubadilika ghafla na kumchagua Joseph Masunga kwa Kura 621.
Amesema uchaguzi huo ulikuwa na vyombo vikubwa vya uangalizi hivyo anaamini hila zote zilizofanywa...
Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo.
Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
JamiiForums tafadhari fuatilieni taarifa za Morogoro Kihonda kumekuwa na vijana nyakati za usiku wanagonga nyumba za watu ukifungua wanaiba na kushambulia watu kwa mapanga.
Inasemekana ni panya road. Mabalozi wa mitaa wametupa taarifa wananchi hatuna amani.
Hali imezidi kuwa Tete hakuna...
Habari wana jukwaa,
Naomba kwa mwenye uzoefu na hizi manispaa mbili, Kahama na Morogoro, wapi panafaa kuishi kwa mtu anaeanza maisha mwenye kipato cha kati? Yaani mtumishi wa serikali.
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham amemtaka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ulanga kuangalia miundombinu ya maji katika hospitali ili kurekebisha maeneo yenye mivujo ya maji.
Salim amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo na kuoneshwa bili ya...
Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa maswali na majibu ya oral, na wakafanya presentation za slides akawarekebisha kisha wakaingia interview...
2021 Morogoro, nilifikia hotel moja mjini pale floor ya 3, kwa chini kuna Restaurant, nikaenda kupata food, nikapata demu muhudumu pale pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake ambae ni mpishi wa jikoni.
Demu walivofunga akaja room kwangu, watu wakamsanua mwana wa jikoni kuwa manzi yako imezama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.