Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
Na WyEST, MOROGORO
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu.
Mhe. Kipanga ameyasema...
Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna.
Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko...
Hali ni mbaya usiku wa Leo kwa wasafiri wanaotumia barabara ya Morogoro, tangu saa mbili jioni hii tuko eneo la mikese gari hazisogei, sijui huko mbele kuanzia Dar hali ikoje
Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa...
Naam hili halina ubishi.
Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu.
Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro, DC atoa maagizo
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya, ameagiza kukamatwa kwa wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa kwa kuwatelekeza watoto watatu huku mmoja anayesoma kidato cha nne akiwa ndiye anayewahudumia wenzake...
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameagiza kukamatwa kwa Wazazi wawili Thomas Ulanda
na Adelyda Nakashawa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwatelekeza Watoto wao watatu Emerinda Thomas Ulanda (17) Christina Ulanda (13) na Slyvia Ulanda (9) wanaoishi...
Salaam wakubwa,
Katika pitapita zangu za hapa na pale ktk mji kasoro bahari nikakutana na hiyo kitu. Kubwa ni kukumbushana tuh. Upo. Jihadhari.
Kwa ambae hajaelewa.
Wanaita UMEME, UKIMWI, AIDS, VVU, HIV, NYAYA, SHOTI na majina mengine watayoleta wadau hapo chini.
Ni ndugu yangu. Anatafuta shule ya kukodi. Iwe Msingi ama Sekondari kwenye mkoa wa DSM, Pwani ama Morogoro.
Kwa yeyote anayeweza kusaidia kufanikisha hili anakaribishwa sana.
Mengine watazungumza wenyewe wakikutana.
Tumia hii email:
dodomadaressalaam@gmail.com
Tusaidiane ku push hili suala...
RC apiga marufuku walimu kuwekwa ndani
Martine Shigela alitoa agizo hilo wakati wa akifungua kikao cha wadau wa elimu wa mkoa wa Morogoro katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kilicholenga kutathmini masuala ya sekta hiyo.
Kikao kazi hicho cha wadau wa sekta ya elimu mkoa...
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake
1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo
2. Morogoro Mjini: Hapa wenyeji ni Waluguru.
3...
Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira.
Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka...
Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana.
Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa.
Mwezi ukapita, nikaenda...
Kwema Wakuu!
Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo;
1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa
Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana.
Jua...
Hivi hamjui kuwa Mimi ni Balozi wenu Kivuli wa Kujiteua Mwenyewe?
Kwanini kwa hizi Siku Mbili Tatu hampatikani kabisa hapa Mkoani Morogoro?
Mnanilazimisha nisikilize Redio ( FM ) mbaya, mbovu na zisizo na Mvuto na Ushawishi Kwangu za hapa Mkoani Morogoro kama za Plannet FM na Abood FM.
Ina...
SIRI IMEFICHUKA! Kumbe vile vibanda vya wajasiriamali (Wamachinga) katika Soko Kuu la Chifu Kingalu vilivyojengwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando kwa kushirikiana na benki fulani, vimegeuzwa mradi wa kupigia pesa na kuiibia serikali? Hatari sana.
Itakumbukwa kuwa DC Msando alisema...
Ndugu wana JF,
Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...
Kwanza haya maeneo yana wanadangaji wakutosha, na wanamitego kweli kweli! Ukiingia tu wanakuja hilo eneo la parking na kujifanya kujipiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.