Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
Hii ni habari ya kusikitisha kwa Wakulima na hujuma kubwa toka kwa Mkuu wa Mkoa, mtu aliyetegemewa kuwasaidia wananchi sasa amekuwa mkandamizaji kwa wananchi.
Kwa takribani mwezi sasa kumekuwa na juhudi toka kwa wafanyabiashara wahindi na madalali wao wa kuzuia mfumo wa stakabadhi ghalani...
Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala.
Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa...
Latra tunaomba muangalie nauli za kwenda kingorwila zipo juu sana kuliko uhalisia, Leo hii kutoka Moro mjin kwenda kingorwila ni sh 800, sehemu Ambyo ni km 12 tu na ni full Lami. Abiria kiukwel tunaumia
Kwa Hili.
mifano michache, ruti ya kwenda lukobe nin700 na barabaran ni mbovu, na ni km 16...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Morogoro imetoa ripoti yake ya miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2022 ambapo imepokea taarifa 101, kati ya hizo 52 zilihusu rushwa.
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro imemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dustan Mshana kwa tuhuma ya wizi wa mafuta lita 100, kununua kumpyuta chakavu pamoja na kutosimamia vizuri idara yake hiyo.
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Rachael Nyangasi, alisema...
Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna mwekezaji amejitokeza ili kukifufua kiwanda cha tumbaku kilichopo Morogoro ambapo amesema kufufua kiwanda hicho kutakuza uhitaji wa soko la tumbaku na kuwataka wakulima wa tumbaku kuendelea na kilimo hicho.
Ameyasema hayo mkoani Tabora akizindua Barabara ya...
Moto usiothibitishwa chanzo chake umewaka ndani ya benki ya Nmb Morogoro.
Moto huo wa ajabu inasemekana ulikuwa unasaka makasha yenye pesa ili uyaunguze na km unavyoona kwenye hiyo video fupi tayari unamhangaisha askari moto kuuzima kibabe ilhali wenyewe ungali na hamu na kuunguza hela 😄...
Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake.
Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
Diwani wa CCM kata ya Uwanja wa Taifa mjini Morogoro, Rashid Matesa ajeruhiwa baada ya kupigana na mwenyekiti wa CCM kata hiyo, Athumani Mswagala kwenye kikao cha chama kwa kinachodaiwa kupinga hoja ya mwenyekiti wake kutaka viongozi wawili wajadiliwe kutokana na utovu wa nidhamu
Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.