Habari wakuu
Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja.
Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama.
Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8
Kwa maswali...
Habari upo morogoro na unatafuta fundi
Karibu upate mafundi waaminifu huduma tutoazo
FUNDI MADISHI
FUNDI UMEME
FUNDI MAFRIJI
Karibu upate huduma za KUFUNGA TV UKUTANI, huduma zote zinazohusu solar, huduma zote za UMEME wa majumbani na viwandani ,huduma za kumtengenezea mafriji yasiyopoza
Karibu...
Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero.
Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000)
Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro.
Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji.
Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1.
Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki.
Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro.
Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza ametoa agizo hilo dhidi ya vikundi vilivyopewa Mikopo ya 10% iliyotolewa na Halmashauri.
Pia, amesema TAKUKURU imebaini Manispaa ya Morogoro ni kati ya maeneo ambayo ilitoa Mikopo hiyo bila kufuata...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo.
Akikabidhi fedha hizo kwa...
Kufuatia habari zilizoripotiwa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushikiliwa kwa katibu wa CHADEMA kanda ya kati Emmanuel Masonga, Wakili Boniface Mwabukusi na na kada maarufu wa CHADEMA Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa...
WANANCHI MOROGORO WAUMWAGIA SIFA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA ANWANI ZA MAKAZI
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Morogoro.
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kutoa elimu kuhusu majukumu yake na huduma inazotoa kwa wananchi kupitia sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA...
MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini.
Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
Jana, pale Mwanza bondia mtanzania Kiduku alipanda ulingoni kwa pambano la raundi 12 la ubingwa wa WBF. Alipambana na bondia Wellem wa Afrika ya Kusini.
Wellem, akitumia jab yake ya kushoto na urefu wake, alifanikiwa kumweka mbali Kiduku na kuvuna points za kutosha kumpatia ushindi wa jana...
Habarini mafundi mlioko Morogoro naomba mje inbox na gharama za kunijenege nyumba ifuatayo kutoka msingi hadi boma.
Master 1, vyumba viwili kimojawapo ni self, dining, jiko na store kiwanaj ni tambalale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.