Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu kuna binadam wana moyo sana, hili nimelithibitisha baada ya huyu bwana kunisimulia kisa chake.
Ipo hivi, huyu bwana alisoma chuo kimoja na mpenziwe, wakiwa chuo mpenziwe alimcheat na lekcha jamaa akasamehe maisha yakaendelea.
Siku nyingine akawa anahtaji...