mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Basi linalosafiri kutoka Nairobi kwenda Kigali kwa kupitia mpaka wa Rusumo.

    Nahitaji basi linalosafiri kati ya Nairobi na Kigali likipitia mpaka wa Rusumo nchini Tanzania. Naomba kufahamu jina la kampuni na ikiwezekana na nauli.
  2. Taarifa toka kwa Wanawake: Mpaka sasa Wanaume wa kisukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa

    Shalom, Wanaume wakisuma hawana maajabu ya uchangamfu they are not pepper but women have concluded wasukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa Taarifa fupi mengine yaendelee Wadiz
  3. G

    Natafuta anayeuza Google-Play Console nifanye naye biashara

    Je ? Una google play console account. 1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza). 2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code. 3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
  4. Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  5. Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

    Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na...
  6. B

    Benki ya CRDB yaadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani ikitooa Shilingi Bilioni 995 mpaka Mei 2024

    Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
  7. Kumbe mgomo wa wafanyabiashara umefika mpaka Katoro!

    Nilifikiri utaishia Dar Es Salaam na Mwanza. Lakini imekuwa tofauti na nilivyofikiri. Nikiwa natokea mkoa fulani, leo saa nne Asubuhi, nimepitia Kariakoo Katoro mkoani Geita kwa lengo la kununua vifaa fulani. Sijafanikiwa. Maduka yote yamefungwa. Hiyo ni wazi kuwa nao wamegoma. Hali haipaswi...
  8. Hawa wanyaturu watatumaliza, uchumi mpaka sasa hakieleweki!

    Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima. Kodi hazieleweki. Madeni ya nchi yanazidi kupanda. Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao. Nyie wanyaturu vipi lakini?
  9. D

    Zanzibar imetoa wapi mahela yote yale mpaka bajeti imeongezwa mara 2: Samia ametuuza

    Baada ya kifo cha Magufuli Zanzibar imekuwa na mabadiliko makubwa kiuchumi, barabara zumepigwa lami nyingi sana. Hawajaanza kuchimba mafuta, zile pesa wamezitoa wapi? Ji ukweli Samia kuna namna amefanya, pesa zetu inajenga Zanzibar ndio maana wanataka kumwongezea Mwinyi muda wa uongozi. Ni wazi...
  10. Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Majibu ndio hayo msisononeke
  11. D

    SoC04 Maboresho katika eneo la Teknolojia kwa ujumla kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo

    Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi. Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili kufikia maendeleo endelevu na kuimarisha uchumi wa taifa. Teknolojia ina uwezo wa kuleta mapinduzi...
  12. Maiti kugoma kuzikwa mpaka mahari itolewe

    Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa mke au mume kuforce kufunga ndoa na maiti Ilikuwa juzi wakati nahangaika na shughuli zangu za...
  13. 7

    SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  14. Luhaga mpina alicheza kama Pele hasa bunge linavyoipakata Serikali

    Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
  15. Mpaka sasa chaguo ni moja tu 2025

    ni Chama Cha Mapinduzi CCM. Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza hali za viwango vya maisha ya waTanzania kwa kiwango cha kuridhisha na kutia moyo sana. Sera zake za...
  16. S

    Mh. Makonda wananchi wa King'ori na Kikatiti watanyanyaswa mpaka lini

    Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa yaende mpaka King"ori badala yake huishia Maji ya Chai. Latra mkoa wa Arusha ni bomu, wamelalamikiwa...
  17. Hivi NASACO ingekuwepo mpaka leo haya ya bandari tungekuwa tunalalamika kweli

    Nafikiria nchi inavyokwenda mpaka unaweza kujiuliza hivi hii CCM iliyopo madarakani imeharibu vitu vingapi ambavyo vingekuwa msaada mkubwa leo. Hujuma zinazofanywa na ripoti za CAG zilishawahi kufanyiwa kazi? NASACO iliungua na ukawa mwisho wake...
  18. Ndege iliyopotea iliyombeba makamu wa rais wa Malawi itatafutwa mpaka ipatikane

    Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema. Chilima, 51, alikuwa ndani ya ndege ya kijeshi na wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa 9.17...
  19. B

    Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

    Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora. Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu. TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…