Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu.
Kuna time naamua kulianzisha lile...
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.
Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto.
Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua.
"Kwa sasa bado nakua. Kupata...
Mara kadhaa nimepata wasaa wa kutazama sura yako kwa ukaribu zaidi. Hatua chache toka ulipo hiyo imenipa wasaa wa kuutazama uziri wako nikiwa karibu.
Sio mtaalamu katika kuyaeleza maneno yanayo husisha mapenzi. Ila leo nimeona ni busara zaidi kukueleza haya. Inanilazimu kukueleza kwa kuwa...
Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi.
Ukijichanganya kwenye hizo njia, mwisho wake huwa ni kilio; mfano ulitumia njia za kutafuta mpenzi ili upate...
Bhanigini bhane,
Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti.
Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za...
Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k
Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae wakati mpo matembezi kuna shost anamjua mchepko wa mpenzi wako na aliwahi kumwona kapost pc whatsapp...
Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako..
Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo.
Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni.
kufika...
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo?
Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅
Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
Salaam kwenu nyote!
Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana.
Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa.
Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe"
Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
Zama amesema kuwa mumewe...
Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi!
Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi
Ukiniongeza na hii...
Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu.
Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani?
Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
Mabibi na mabwana,
Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu...
Sometimes genes (vinasaba) zetu za Kiafrika zinatuponza. Mwanaume wa kiafrika anajulikana siku zote kuwa dominant katika mahusiano tofauti na races nyingine duniani. Mwanaume wa kiafrika huwa hakubali ujinga wa kutawaliwa na mwanamke. Sasa hali hii imemponza mwanasoka chipukizi pale Old Trafford...
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.