mpenzi

  1. I

    Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi. Hivi hii ishawahi kuwakuta...
  2. mdukuzi

    Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

    Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu. Mimi zao langu...
  3. Izrael k Adam

    Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  4. carcinoma

    Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  5. D

    Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
  6. Napoleone

    Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

    Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na...
  7. kunta93

    Mpenzi wako anapokwambia "flani ananitongoza" anakua anamaanisha nini?

    Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana...
  8. Extrovert

    Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

    Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri! We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa...
  9. K

    Mpenzi wangu bar-maid

    Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi) Nishaurini jmn....😟😟
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kusali pamoja huongeza upendo, kumuombea mpenzi wako huongeza uaminifu

    Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine. Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za...
  11. Mkulungwa01

    Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

    Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda...
  12. A

    Natafuta mpenzi serious wa kufikia malengo ya kuoana ndani ya mwaka 1

    Ni kijana wa umri wa 27 Elimu: degree Dini: mkristo Makazi: dar es salaam Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines Anayehitajika Elimu: form 4 mpk darasa la 7 Msichana umri chini ya miaka 23 Urefu wa saiv ya kati Uwe serious kweli. Whatsapp 0674028267
  13. Sheillah Sheillah

    Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
  14. L

    Inauma sana, ila LET HER GO

    Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
  15. Frumence M Kyauke

    Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

    Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu...
  16. Kendk

    Mpenzi wa kutoka nae x.mass

    Kama uko single umri usozidi miaka 35 kuna ofer ya kutoka na mimi siku ya x.mas na siku zijazo Uwe njanda za juu kusini mikoa ya iringa mbeya na sumbawanga. Karibu pm
  17. Harrykany

    Hii inakaaje kwa wadada kukubali kuwa na mpenzi mwenye wapenzi wengi?

    Kwa ufupi tu niulize kwanini mdada unakubali kuwa na mpenzi ambae ana wapenzi wengine na analitambua hilo na anamwambia jamaa kuwa hata kama upo na yule fureshi tu, kila mtu acha aplaypart yake, hivi hapo kinacho sababisha iwe ivo ni mapenzi ya dhati ya mdada, kwa mtu kama huyo, au nini...
  18. NGIMBER

    Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Jinsia Me: Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana) Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living) Sio mweusi sana na asijichubue Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
  19. sky soldier

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi. Tunachumbiana na kuwa kwenye...
  20. Frumence M Kyauke

    Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja. Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT. "Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
Back
Top Bottom