Salaam wanaJF.
Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,
Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.
Sasa wiki iliyopita...
Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-
Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'
Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na...
Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:-
Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti
Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike, mambo yakawa tofauti
Kuna aliyesomesha akitegemea waje waoane waishi pamoja, mambo yakawa tofauti
Kuna...
Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda?
Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana.
Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini matendo yako pia yanaweza kumhathiri mtu unaempenda kwa kiasi kikubwa.
-Kuna muda, kumlinda mtu...
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu...
Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa.
Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize.
Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa...
Habarini wadau
Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea nikatulia.
Ila hawa alaaniwe alimpotosha sana Adam na Delila alaniwe alimtesa sana Samson
Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako
Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio wakaaji wa nyumbani ile unatoka hom leo kurudi pengine wiki kazaa mbele
Basi bwana baada ya wiki kazaa...
Mwanamke au mwanaume yeyote anapokuwa mwenye akili timamu zilizo tulia katika mahusiano mapya kuna vitu ni lazima utavigundua kama huyu mpenzi wangu ananikubali au hapa nilipo nalazimisha huu uhusiano. Kwani utagundua huyu mtu nilie naye hanikubali
Je, ukigundua mahala ulipo haukubaliki huwa...
Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra.
Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.
Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo...
Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka, Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza.
Wakati vijana wengine wanalalamika...
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:-
Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali
Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini
Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto
Anasahau sahau kitu...
Wakuu naomba tusaidiane.
Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi?
Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi?
Je, ni sahii kujinyima raha ya kulidhishwa kimapenzi kwa kigezo cha kuitwa mwaminifu na mwenye msimamo?
Karibuni
Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena.
Turudi kwenye Topic.
Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh.
Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
Wapendwa habari za jioni.
Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu.
Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha fulani kuwa atakuwa na ladha fulani ya pekee na sifa kibao kutokana tu na mwonekano wake wa nje, lakini...
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache.
Ni mrembo haswa na ana self...
Unapompatia namba yako ya simu, yeye ndio anakuwa wa kwanza kukutafuta, iwe kwa meseji au kwa kukupigia. Lakini wengi sisi huwa tunakosea, unakuta wewe ndio uliyempatia namba yako ya simu na unakuwa wewe ndio wa kwanza wa kumpigia mara kwa mara bila yeye kukutafuta, hiyo inaitwa kujipendekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.