mpya

  1. Habari mimi ni mpya humu

    Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
  2. Sasa ni wakati wa kupata katiba mpya

    Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
  3. Katiba mpya sio Katiba ya CHADEMA au ya fulani ni Katiba ya Watanzania maskini

    Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
  4. Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
  5. F

    Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  6. Ni mwaka mpya ni mwaka wako wa kufanikiwa.. Jiandae usibweteke

    Ni makosa kufikiria muda unakwenda. Muda hauendi. Muda upo mpaka utimilifu wa dahari Wewe ndiye unayeenda. Huupotezi muda. Muda hauna mwisho. Unajipoteza mwenyewe.maana una mwisho wako Ni wewe unazeeka na kufa. Muda haufi. Kwa hivyo jitumie vyema kabla ya muda wako kuisha. Na mojawapo ya...
  7. F

    Nashauri CHADEMA tufanye matembezi ya mshikamano kuunga mkono chama na uongozi mpya

    CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini. Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
  8. Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa. Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
  9. Chadema Mpya na hatma ya siasa zetu!

    Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na: 1. Mshikamano wa Ndani na Umoja Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
  10. Sekondari Mpya ya Kijijini Butata Yakaribia Kufunguliwa

    SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m) Sekondari hizo mpya zinajengwa: (i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima (sekondari ya pili ya kata...
  11. L

    Idadi ya safari wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaashiria uhai na ufunguaji mlango

    Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii, kupanuliwa kwa sera za kutohitaji visa, na kuongezwa rasmi kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China...
  12. Ngoma mpya ya Mex Cortez ni moto wa kuotea mbali.....!!!!

    Huyu jamaa bwana kiukweli kibongobongo ni so underrated. Anavitu adimu sana kwenye flows zake, sasa hili jiwe kamshirikisha mkongwe G- Nako kwenye chorus na verse 2 kasimama Dizasta vina 'the black maradona'. Ebana eeeh, hebu kula chuma...
  13. Imeisha hiyo: Samia ndo Rais 2025-2030. Nguvu zote zielekezwe kwenye Katiba Mpya iliyo bora

    Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo. Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya mwili aliyowapiga kule Dodoma wote mliokuwa mnapanga kumuangusha kupitia mchakato wa ndani ya...
  14. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  15. Erling Haaland asaini mkataba mpya kubaki Man City mpaka 2034

    MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6) Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8) Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6) kwa Wiki £500,000 (Tsh. Bilioni 1.5) Kwa siku £71,428 (Tsh. Milioni 219.4) Kwa Saa £2,976 (Tsh. Milioni...
  16. B

    Jahazi linapoelekea kuzama Mbowe na CCM waja na mkakati mpya. Tuona na kusikia mengi!

    Kwamba? Ila mdahalo wameukimbia? Kwani mahuku-taabu lini waliwahi kumpenda au kumtakia jema? Ukweli mchungu: "kunguru hategwi au kushawishiwa kwa maharage makavu!"
  17. Tunaelekea Zama Mpya

    Kwanzia mwaka huu 2025 dunia itashuhudia mambo mengi ya kutikisa akili, kusisimua na ya maajabu mbele ya macho yetu Kwenye upande wa medicines, technology, uongozi, kutakua na uwezekano usio na mwisho mfano watu wataweza kujenga nyumba kwa siku moja na mengine mengi get ready funga mkanda...
  18. Tangazo la kazi limewekwa leo kwenye nipashe

  19. INAUZWA Pikipiki mpya ya kazi unauzwa

    Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote. Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM Ukinunua unapata usajili bure, jacket, T-shirt na Helmet 2. Piga simu au WhatsApp: 0683535699
  20. Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…