Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Waite wavuvi na machinga ikulu waulize mnataka nini, kamwe hawatazungumzia Katiba mpya...