mradi

  1. Jidu La Mabambasi

    Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

    Comrade Kinana amepasua jipu. Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama. Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari. Ni jambo la kawaida sasa...
  2. Old Woman

    Matapeli wa ardhi Morogoro wanatamba wanavyotaka kwakuwa wanashirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali

    Naam hili halina ubishi. Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu. Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
  3. S

    Mradi wa umeme uko asilimia 12 tu na umechelewa kwa miezi 8 Dk Mpango asema hataki kusikia kiswahili wala kisingizio

    Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameinyooshea kidole Wizara ya Nishati kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambao umechelewa kwa takribani miezi 8 sasa. Ujenzi wa Mradi huo uko asilimia 12 tu...
  4. J

    Dk. Mpango akunjua makucha aivaa Wizara ya Nishati kusuasua kwa mradi wa umeme

    Makamu wa Rais, Dk. Philip Isdori Mpango amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa umeme wa Gridi ya Taifa katika Mkoa wa Katavi na kuiagiza Wizara ya Nishati kuhakikisha ifikapo 2023 mradi uwe umekamilika na hataki kusikia kiswahili wala kisingizio anataka Mkoa wa Katavi uwe...
  5. Lady Whistledown

    Siha: Madiwani waugomea mradi wa Maji, Mbunge aagiza kukamatwa kwa Mkandarasi

    Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango. Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
  6. peno hasegawa

    Mitungi ya gesi anaigawa bure January Makamba kwa wananchi wa Kanda ya Ziwa ni mradi endelevu?

    Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu. Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi huo? Je, mitungi anayoigawa fedha ni kodi ya wananchi au ni fedha za CCM? Je, Makamba ametumwa au...
  7. Roving Journalist

    Makamba: Mradi wa umeme wa Rusumo hydropower project kukamilika mwezi Novemba 2022

    'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda unapojengwa mradi mkubwa wa uzalishaji Umeme wa Maji wa Rusumo (Rusumo...
  8. saidoo25

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  9. Roving Journalist

    Waziri Dkt. Stergomena atembelea Mradi Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022. Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
  10. Patra31

    Nafasi 43 za kazi kwenye mradi Wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP)

    1) Motor Grader Operators —- 10 positions 2) Excavator Operators ——– 20 Positions 3) Bull Dozer Operators ——– 03 Positions 4) Pipe Fitters ——————- 04 Positions 5) Supervisor Piping ———– 01 Positions 6) Supervisor HVAC ———— 01 Positions 7) Wheel Loaders ————— 04 Positions Interested candidates...
  11. Roving Journalist

    Mkuu wa Majeshi CDF Mabeyo anaweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Gofu

  12. Championship

    Mradi wa siri kuhuisha silaha za nuclear za Ukraine unakaribia kuanza majaribio

    Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned. Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700. Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa...
  13. Nyankurungu2020

    Pamoja na suala la Katiba Mpya, Halmashauri ya CCM ilipaswa kujadili hujuma dhidi ya mradi wa JNHP, bei za mbolea na mafuta ili waliohusika wakamatwe

    Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze. Sio mbaya maana sasa ni hitaji la kitaifa na mchakato uanze mapema, lakini kwa nini CCM wabadili gea? Mbona masuala ya msingi kama...
  14. Choosen85

    Mradi usioeleweka Mwanza

    Wakuu kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi mkoani Mbeya sasa alipigiwa simu na kaka ake kwamba kuna mradi upo Mwanza huko atalipwa vizuri sana. Huyo kaka mtu akamwambia anatakiwa awe na passport ya kusafiria, achome chanjo ya manjano jamaa akapambana akakopa mpk kwa jamaa zake ili akamilishe...
  15. Roving Journalist

    Ufaransa yaikopesha Tanzania shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Maji safi Shinyanga

    Na Eva Ngowi, Dar es Salaam Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika...
  16. beth

    Mbunge Deo Mwanyika: Tunafanya mchezo na Mradi wa Liganga-Mchuchuma

    Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia Ameeleza, "Sisi Watanzania ni watu wa ajabu. Tuna Makaa ya Mawe ambayo bei yake ni...
  17. N

    Dondoo za mradi mkubwa wa kuchakata na kusindika gesi asilia - LNG

    Hivi karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini ya makubaliano ya awali ya mkataba wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia na kampuni za Equinor ya Norway na Shell ya Uingereza. Rais Samia amesema mradi huo ni wa kimkakati kwa nchi ambao utakapokamilika...
  18. Rashda Zunde

    Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
  19. B

    Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    11 Juni 2022 Dar es Salaam, Tanzania Serikali ya Tanzania yasaini mradi wa thamani ya dola za Kimarekani 30 bilioni na mashirika makubwa ya Equinor la Norway na Shell la Uingereza kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi asilia yaani LNG (Liquified natural gas) ambao umeshuhudia na Rais...
  20. A

    Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    -Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II -Kipindi cha marejesho (Payback period) Kilimo-Biashara -Kilimo biashara ni nini? Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO...
Back
Top Bottom