mradi

  1. K

    Serikali iweke mazingira ya watanzania kununua hisa kwenye mradi wa LNG

    Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
  2. L

    Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano nchini Zambia uliofadhiliwa na China wakamilika

    Hafla ya kukabidhi Kituo cha Kimataifa cha Mikutano kilichojengwa kwa ufadhili wa China imefanyika jana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka.. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amesema, tangu Zambia ipate uhuru, China imetoa misaada mingi katika juhudi za kuhimiza...
  3. menny terry

    Mradi wa barabara ya mwendokasi Kilwa Road

    Wakuu! Jana nimetembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa kipande hiki cha barabara kutokea mbagala hadi kariakoo! Hakika inapendeza sana. Asilimia kubwa imekamilika hivyo soon mradi huu utakuwa unaanza kazi! Lakini tofauti niliyoiona ni kuwa ile awamu ya kwanza ambayo ilijengwa Na strabag...
  4. S

    Nilishangaa Waziri Mbarawa kutumia muda mwingi kuelezea mradi ambao watanzania hawautaki

    Jana wakati waziri wa ujenzi na uchukuzi anahitimisha hoja zake kimsing iangetueleza mpango wa kujenga barabara kuunganisha wilaya zetu na mikoa kuliko kuelezea mradi wa SGR. Huu mradi ni wazi watanzania wengi hawajaufurahia kwani hauwagusi watanzania wengi unapitia sehemu chache sana...
  5. Mpinzire

    Mhandisi mshauri mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanzania akutwa kafariki

    Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga. Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
  6. Meneja Wa Makampuni

    Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

    Naomba tujadili ndugu zangu. Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta. Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini. Huu mradi kwanini wanauzuia. Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili. Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
  7. Tz boy 4tino

    Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  8. Superbug

    Nani anamiliki mradi wa nyumba 83 za kupanga Kunduchi Beach?

    Kuna mradi wa nyumba 83 unajengwa hapa Kunduchi beach, Je mmiliki ni nani?
  9. JanguKamaJangu

    Asilimia 95 ya Taasisi Zisizo za Kiserikali hazijahamia katika mfumo wa Digitali, Mradi wa #DIGITALNGO wafungua njia

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Media Convergency, Asha Abinallah, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa #DigitalNGO ambao unatarajiwa kuwa kichocheo cha mabadiliko na mapokeo ya kidijitali kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar...
  10. chiembe

    Magenge ya awamu iliyopita yaligawana tenda za ujenzi wa mradi wa Stiglers wenye thamani ya trilioni 20, wamejaa hofu kuumbuliwa na CAG na Makamba

    Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct . Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na kumshutumu Waziri Makamba, ni kwamba wameanza kuuona moto, kampuni zao zimeanza kuitwa moja baada ya...
  11. P

    Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

    FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa" Mradi una malengo makuu mawili: 1. Beekeeping transformation from local/primitive...
  12. BigTall

    Vijana Mradi wa YAM wapewa darasa walime parachichi, watatoka kwenye umasikini

    Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa. Mkulima mdogo wa...
  13. Rebeca 83

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso: Wachawi kikwazo maji kufika vijijini

    Hello JF Hii habari imenichekesha sana ---- Waziri wa Maji, Jumaa_Aweso ameeleza kupitia alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Vijijini moja ya kituko alichokutana nacho kwenye kijiji kimoja alipomuuliza mkandarasi sababu ya maji kutokuwepo kwenye kijiji hicho licha ya kujengwa tank...
  14. Mzee Wa Republican

    Mradi wa bandari ya Tanga ulifia wapi?

    Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo. Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...
  15. Roving Journalist

    Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  16. Analogia Malenga

    Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  17. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mwambieni Rais Samia amalizie mradi wa umeme wa mto Rufiji

    Najua utekelezaji wa mradi huu umeshuka Sana kwa Sasa! Hadi mwaka huu tungekuwa kwenye hatua za Mwisho za utekelezaji wa mradi huu! Lakini hakuna cha maana Hadi Sasa! Mkumbuke ni fedha za kodi za watanzania ndio zilizozikwa kwenye huo mradi! Je mmekubali kweli fedha zetu zizikwe na mradi iende...
  18. Lord denning

    Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
  19. Z

    Mradi wa uwekaji wa Anuani za Makazi usimamiwe kwa weledi

    Pongezi nyingi sana kwa Serikali ya awamu ya 6 chini ya Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu kwa kuamua kufanya zoezi hili muhimu na nyeti kwa usalama wa nchi yetu lakini pia kwa uchumi wa Taifa kwa ujumla. Zoezi hili ni muhimu na nyeti sana, ni zoezi mtambuka kwani linagusa kila wizara, kila sekta...
  20. S

    Nimeamua kumpenda "lumpen" ili mradi ana via vya uzazi

    Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, aliyejaa utu, utii na ubinadamu. Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko. Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga...
Back
Top Bottom