Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...