mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

    Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake. Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume. Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer...
  2. Ni mrembo sawa, ila unapendeka?

    Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki. Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa...
  3. V

    Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

    Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?
  4. Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

    https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi. Short description kwa wasio na bundle; Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu...
  5. Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  6. Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?

    Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale. Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde. Sasa mlimbwende ameniibukia hapa nyumbani, kusema kweli ni bonge la jimama, na nikimtizama machoni...
  7. Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

    Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake. Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu. Nawatakia...
  8. Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  9. Huyu mrembo nahisi anataka kunitapeli mtoto

    Wakuu habari za jioni? Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi. Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela lazima mkorofishane au mtafute sababu mbili tatu mzinguane. Nikajifanya mjinga ili nitundike ki-zygote...
  10. Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  11. Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

    Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
  12. Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

    Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri. Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya...
  13. Wanaume njooni tujibu swali la huyu mrembo!

    Mimi namjibu kama ifuatavyo. Fanya kama mchezo wa kombolela Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa asitumiee sekonde 25. Karibuni kwamajibu zaidi.
  14. Msaada kwa anayemfahamu huyu mrembo

    Huyu dada mweupe aliyesimama na kucheza juu ya gari anaitwa nani? Nimetokea kumkubali kwani ana 'swaga'. Povu linaruhusiwa.
  15. Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

    GHETTO LANGU LILINISALITI; MREMBO AKANIKIMBIA! Anaandika, Robert Heriel Vijana jijengeni! Wekeni mambo yenu Sawa kama mnataka hizi pisikali! Wanawake hawana Jema! Wengi ni materialists. Hakikisheni mnaishi sehemu nzuri na vitu vya ndani viwe vimenyooka. Mnyamwezi kama kawaida yangu ikifika...
  16. W

    Mrembo kutoka Oysterbay aliye kamata moyo wa gwiji la Muziki Tanzania na kuwa famous Tanzania nzima

    Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli , Georgina ni nani na kwanini nyimbo hiyo ili tungwa na jabari huyo wa Muziki. Georgina...
  17. Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

    Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba. Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano. Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale...
  18. F

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Source: TBC Television. Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya. Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
  19. M

    Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
  20. Mrembo asiyepiga mizinga mwenye swaga, tutoke naye siku ya Iddi; muhimu kufurahi na marafiki

    Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi. Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze namna usivyonipiga mizinga katika siku ya kufurahi na marafiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…