msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa

    Habari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...
  2. M

    Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

    Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa. Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema. Mungu wabariki bodaboda.
  3. D

    Kuna nini huduma za internet banking NMB huduma hatupati OTP imegoma kuonyesha tunaomba msaada

    Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili. 33410022547 simu 0754290084.
  4. Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  5. Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding, Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection

    Habarin wadau wa JF Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding yaan uchomeleaji mageti madirisha kupauwa kenchi za chuma nk. Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection wadau potepote pale mikoani naenda nipo mwanza phone number 0614853457 0756557949
  6. Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant

    Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant, Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
  7. Uhamiaji ajira 2024, msaada tutani

    Salamu, wakubwa hivi mtu ukifika hatua hii hapa kwenye kiambatanisho nilicho attach Kuna hatua Gani nyingine natakiwa kufuata?
  8. N

    Msaada kudownload movie ya "Io Capitano"

    Wakuu hio movie ya Io capitano naipataje ni bonge la movie la machalii 2 wakitoroka kwenda Italy mwenye nayo anitumie jmn
  9. Msaada kwa alyewahi kufanya usaili tie (tanzania institute of education) editor ii

    Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
  10. M

    DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam. Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
  11. Msaada natafuta kazi/ajira

    Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 23 Jina ni Rajab Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo. Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini sitaweza pata cheti wala kufanya mahafali hadi mwakani juu ya changamoto zilizonitokea ikasababisha...
  12. Msaada kwa mwenye elimu ya Biblia

    Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu. Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood. Sasa leo katika kusoma kwangu...
  13. App gani ukiiuliza chochote inakujibu?

    Wakuu kwema,naomba munikumbushe jina la ile App ambayo alipost mdau mmoja humu kuwa ukiiambia chochote inakujibu.
  14. Naomba kujuzwa Jinsi ya Kurekebisha Picha Inayokatika kwenye Televisheni

    Habari zenu, Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na menyu ya Menu. Naomba msaada, nibonyeze wapi ili nirekebishe tatizo hili? Ahsante sana!
  15. Naomba Msaada wa Mawasiliano ya DIT-ICT, VETA TEHAMA

    Hello wakuu Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA...
  16. K

    Samsung A22 ipoje wakuu msaada

    Naombeni msaada wakuu kufahamu Samsung A22 Upande wa Camera Na kukaa na chaji
  17. Naomba msaada kuverify google developer account

    Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini Msaada account yangu ipo suspension Msaada kwa mwenye uzoefu
  18. T

    Naomba kujuzwa uhalali wa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili?

    Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili. Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
  19. Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Dodoma

    Habarini wenyeji wangu. Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
  20. D

    Naomba ushauri wenu, nina TSh milioni 1.5, ni biashara gani naweza kuanzisha kwa kiasi hiki?

    Bila shaka familia ya JF, wote mko salama. Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya njema. Najua humu ndani wengi wenu ni wenye vipato vikubwa, lakini naomba msisahau kuwa hata sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…