msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

    Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
  2. Msaada: AVN number inatumika kwenye kuomba lesseni kwa Clinical Officers (CO)?

    Naomba kuuliza je AVN number inatumika kwenye kuomba lesseni kwa Clinical Officers (CO)
  3. Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

    Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake. Shukrani.
  4. Naombeni msaada wa vitu vya watoto

    Salamu wakuu Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
  5. I

    Msaada

    Habari wa kuu, mm hapa naingia kwenye akaunti yangu ya muhas haionyeshi ka nimechaguliwa third round au laa ,na watafta hawapatikani,naombeni msaada
  6. M

    Msaada juu ya gari aina ya Verossa

    Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
  7. Naombeni msaada juu ya hili

    Nina macbook toleo Hilo,je nifanyeje iweze kukubali apps za kuanzia 10.14 Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa na wote naombeni msaada wenu wa mawazo.
  8. E

    Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
  9. Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  10. T

    Msaada wa yeyote anayeweza kunisaidia, unahitajika tafadhali

    Ni matumaini yangu nyote mko salama. Ingawa nipo na ID mpya, mimi ni mwanachama wa muda mrefu. Mimi ni mwanaume, na nimejikuta katika hali ya kulea pacha ambao mama yao aliwaacha wakiwa na mwaka mmoja na nusu. Wakati huo nilikuwa Dar es Salaam kwa shughuli za kutafuta riziki. Niliamua...
  11. Msaada tafsiri sahihi ya hii sentensi

    "X" and "y" are both favored to "z" on the right wing.
  12. Msaada: Eneo ambalo bibi alikuwa analima tangu miaka ya 80, kuna mtu kavamia. Nathibitishaje na bibi kafariki?

    Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia. Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha...
  13. B

    Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

    Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza
  14. L

    DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

    Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
  15. Msaada wa Namna ya Kutengeneza Mtindi

    JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe. Nataka...
  16. Msaada kutoka xwa JF wajenzi

    Huo ufa hapo kwenye dirisha unasababishwa na nini na ni ipi njia sahihi ya kujenga ili kuzuia nyufa za aina hiyo kwenye dirisha
  17. Q

    Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

    Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
  18. Msaada: Wataalam wa maji

    Naomba kusaidiwa Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za nusu inchi na 2 za robo tatu) lakini changamoto ni kiasi cha maji yanayotoka kwenye water tap hizo...
  19. D

    Programmers naomba msaada kwenye hili

    Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani; Kwa mfano '6XWE217 ' '6WTY54' Mimi ndiyo naanza kujifunza'
  20. M

    Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…