Kijana wa Kitanzania popote pale ulipo, kwenye kazi yeyote ile, kama unapiga kazi kisawasawa na malipo yako hayafurahishi, DAI UNACHOSTAHILI! Kuna ubaguzi sana kwenye hizi ajira ni njaa tu zinawafanya watu wawe kimya.
NB; Ushauri wangu siyo sheria usije ukajichanganya, Badala ya kudai...