MTAA WA JOHN RUPIA TANGA
Moja ya vibao vingi vya Mtaa wa John Rupia kipo pembeni ya Msikiti Ngazija, Tanga.
Nimefikia hoteli jirani na kwa hakika ni mkabala na msikiti huu na ndiyo nikabahatika kuona kibao hicho.
Nilipata kuwauliza wahusika miaka mingi nyuma wakati naishi Tanga walipotoa jina...