Hello wanajf,
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia.
Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana, watoto na wazee wanashinda huko.
Athari za baadae
👉 kupunguza...
Salam, mambo ni mengi kwa sasa tuendelee tu
Hii mitandao ya mawasiliano sàsa naona kama iko taabani. Inaonekana inapumulia mashine ya gesi ila yanajikaza kisabuni.
Yaani sms za kuhesabu sàsa hivi tofauti na zamani.
Huwa nikijiunga kifurushi huwa siangalii sms ziko ngapi, huwa najua zipo tu...
Hello keyboard warriors,
Imekuwa kawaida sana kusikia kauli kama "Bado unatumia Facebook?" pale mtu anaposhika simu yako na kuikuta hiyo app.
Binafsi mtandao wangu pendwa wa muda wote ukitoa JamiiForums ni Facebook.
Kwanini wewe hutumii Facebook ilhali watu maarufu wote wanautumia na...
Jina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain bado mpya. Nikamuuliza wewe si unaona hapo lakini?
Akaniuliza wewe ni Masai wa wapi hujui hata...
Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Sensor Tower inayohusika na masuala ya utafiti wa Masoko ya Kimtandao, umebaini kuwa matumizi ya #Threads yameshuka kwa 75% ikiwa ni wiki chache tangu Mtandao huo kuingia sokoni.
Threads ambayo ilifanikiwa kuweka rekodi ya kupakuliwa na watumiaji zaidi Milioni...
Lengo kubwa la Application ya Linkedin ni kuwakutanisha wataalamu na wabobezi kwenye sekta mbalimbali, na kutengeneza njia zaidi kwenye uzalishaji na kukua kwa vile ambavyo wanavifanya.
Ndani ya Linkedin kuna kampuni zaidi ya Milioni 57 ambazo huonesha bidhaa, huduma na fursa za kazi duniani...
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.
Tunaomba kujua hapa nina...
Heading inajieleza wana jamvi,
Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Habari, naitwa Daniel ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza fanyia kazi.
Tunaweza wasiliana muda wowote kwa namba 0782427688.
Ahsante
Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter.
Wakati huohuo, takwimu za mitandao zinaonesha kuwa kasi ya matumizi ya Twitter imeshuka ndani ya siku chache...
Siwezi kuelezea mambo yote aliyoyafanya mzee wetu mstaafu mh. sana Jakaya Mrisho Kikwete, leo napenda kuorodhesha baadhi ya barabara za lami alizojenga ktk kipindi cha uongozi wake. Nafanya hivi pengine kuwakumbubusha au kuwajulisha kwa wale ambao hawafahamu maana kuna sijui vitoto au watu...
Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.
PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema kuwa bodaboda sijui ni LAANA. Mimi niwaondoe hofu kuwa bodaboda ni ajira kana ajira nyinginezo.
Kwa...
Kuna hisia nazipata hasa baada ya DP World kufunga message huko instagram. Watanzania wamekuwa wakionesha hisia zao kuhusu kutokubaliana na mkataba wa kubinafsisha bandari kwa muda usio na kikomo. Wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kudhihirisha hisia hizo.
Sasa hofu yangu kwa sasa ni juu ya...
Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni.
Inasikitisha wakati ambapo dunia inaendeshwa kwa njia za kisasa za mtandaoni lakini Platforms zilizo chini ya Serikali hazitoi...
Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake.
Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza kushiriki maoni, habari, picha na video za kuvutia. Lakini hivi karibuni imeingia katika ugomvi mkubwa na...
Je, biashara yako IPO Mtandaoni?
Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo.
Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
aina
akili
biashara
company
fahamu
fursa
gharama
gharama nafuu
jinsi ya
kuanzisha
kuhusu
kutengeneza
kutumia
mfumo
miaka
microfinance
mtandao
nafuu
pamoja
pesa
saccos
server
shule
tovuti
usimamizi
website content optimization
website design
websites
yako
zaidi ya
Tangia Jamii forum ianze miaka 17 iliyopita, mpaka leo bado ina watumiaji laki 6 na kidogo tu. Hii idadi ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watanzania wenye uwezo wa kumiliki simu janja.
Hii ni hasara kwa jamii kwakuwa hatuzivuni faida nyingi za watu kuwa katika huu mtandao kuliko mitandao...
Binafsi nilijiunga Twitter 2009, kipindi hicho ni mwendo wa internet cafe tu. Kati ya social media platform zilizoanzishwa miaka hiyo basi Twitter ilikuwa tulivu na ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals na baadhi ya watu tunaojielewa kiufupi ilikuwa na hoja nyingi za msingi kama ilivyo...