mtandao

  1. Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

    Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi. Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
  2. Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  3. Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  4. A

    Nini unaweza fanya na pesa zilizotumika nunulia mtandao wa Twita takriban Trilioni 102 Tsh?

    Siku chache baada ya tajiri mkubwa duniani kukamilisha ndoto yake ya kumiliki mtandao wa twita wengi wetu ambao hizo namba tunaona ni pesa za kawaida ila sio hivyo kwani tukija mezani unagundua hiyo pesa ya twita tu mwamba Elon musk akiamua tumia bilioni kila siku kwenye matumizi yake, kula...
  5. Safaricom yazindua mtandao wa 5G nchini Kenya

    Kamouni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom leo Alhamisi imezindua mtandao wa 5G Wi-Fi mbadala wa huduma za nyumbani na huduma ya 4G Wi-Fi. Kampuni inalenga makazi na ofisi za biashara katika maeneo ambayo kwa sasa hayahudumiwi na mtandao wake wa Fibre. ====================== Safaricom will...
  6. Watumiaji wa simu, intaneti waongezeka Tanzania

    Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyotolewa leo Oktoba 25 jijini hapa. Kwa mujibu wa...
  7. Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

    Watumiaji wengi wa mtandao wa WhatsApp wameripoti kushindwa kutuma wala kupokea ujumbe wowote asubuhi hii. Kwa mujibu wa Downdetector, zaidi ya watu 12000 wameripoti uwepo wa tatizo hili hadi kufikia mida ya saa 4:30 asubuhi. Hata hivyo, hakuna taarifa yoyote rasmi iliyotolewa na Kampuni ya...
  8. Postpaid ya mtandao wa Voda, Halotel, Airtel

    Kichwa cha habari chajieleza, naomba mwenye kufahamu gharama za kujiunga postpaid ya mitandao tajwa hapo juu anisaidie chati yake.
  9. J

    Watumishi wa Umma watakiwa kujilinda na Uhalifu wa Mtandao

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Watumishi wa umma na binafsi wametakiwa kuwa makini na chochote wanachofanya mtandaoni ili kujilinda na changamoto za uhalifu wa mtandao ambapo katika zama hizi za kidijiti taarifa binafsi au za taasisi zimegeuka kuwa malighafi muhimu kwa wahalifu wa mtandao...
  10. J

    Serikali kuimarisha Usalama wa Huduma Mtandao

    SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
  11. Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
  12. Hili tatizo la mtandao wa tigo kusumbua ikifika saa mbili usiku ni mimi au ?

    Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
  13. Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  14. Albania: Taasisi za serikali zapigwa na shambulio la mtandao, Iran yatajwa

    Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani imekiri kupata shambulio hilo lililolenga mifumo ya Utumishi wa Umma na Serikali nchini humo ikiwemo mifumo ya kompyuta ya Polisi. Waziri Mkuu Edi Rama ameishutumu Iran kwa kuelekeza mashambulizi hayo dhidi ya taasisi kadhaa yaliyotajwa kufanywa ili kulemaza...
  15. L

    Vijana wa Afrika waongea na wanaanga wa China walioko anga ya juu kwa njia ya mtandao

    Vijana kutoka nchi 8 za Afrika wameongea na wanaanga wa China walioko kwenye Kituo cha Anga ya Juu Tiangong kwa njia ya mtandao. Wanaanga hao wakiwemo Chen Dong, Liu Yang na Cai Xuzhe wamejibu maswali yaliyoulizwa na vijana hao kama vile wanaweza kuona Jangwa la Sahara na Mlima Kilimanjaro...
  16. SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  17. Uhusiano ulioanzia kwenye Mtandao wa Craigslist wadaiwa kumfanya binti Mkenya apotee kusikojulikana

    Irene Gakwa ni binti aliyezaliwa nchini Kenya miaka 33 iliyopita ambaye mwaka 2019 alihamia nchini Marekani akiwa na ndoto za kusomea maswala ya afya. Irene alikutana na upinzani mkubwa kwenye hatua za awali za uamuzi wake huu kutoka kwa wazazi wake ambao hawakutaka ahamie huko, lakini kutokana...
  18. Mtandao gani wenye kifurushi cha usiku?

    kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
  19. Jinsi ya kuwezesha digital payment kwenye Application yangu

    Habari wadau, Ninataka kujua namna ya kuzesesha Digital Payment kwenye application yangu. Yaani mtu alipie kutoka mtandao wa simu moja kwa moja kwa kuweka kiasi kwenye application halafu simu yake ipate alert aweke namba ya siri pekee. Kama wanavyofanya Sportpesa.
  20. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…