Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama.
Akizunguza...
Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu!
Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa.
Kama Mtanzania akifanikiwa kuwekeza na akafika angle fulani ya kuwa na UTAJIRI RASMI kisha ikitokea amefariki, basi...
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2 bilioni (TZS bilioni 424.31).
Hatua hii inafanya Amsons kuwa mmiliki mkuu wa kampuni hiyo ya...
Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2 bilioni (TZS bilioni 424.31).
Hatua hii inafanya Amsons kuwa mmiliki mkuu wa kampuni...
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka mitano tena ya kuongoza kuanzia mwakani baada ya uchaguzi mkuu. Je wewe kama mtanzania mwenye nchi...
Kuna watu wapo wakilalama naakufikia kusema wanajuta kuzaliwa watanzania wanatamani wangezaliwa nchi zingine bila kujua kila mwanadam amepangiwa ridhiki yake hapa Duniani na vyote tunavyoangaika navyo tunakuja kuviacha
Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika.
Diana ambaye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo hizo maarufu Consumer Choice Awards...
Niambie lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Tunadanganyana tu awamu zote zilizopita kulikuwa na mjuaji,kuwekwa vizuizini na mauaji tunadanganyana tu ila kwasasa kwasababu vyombo vya habari ni vingi kwahiyo tunapata kwa haraka sana hii ilikuwa au imekuwa kisiwa cha mauaji tokea hapo soma...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine mwenye sifa.
Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 katika hafla maalumu ya kuaga mwili...
Je, wajua?
Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya.
Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
Tafakuri ya leo.
Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa??
Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu??
Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania"
Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo.
Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna roho mbaya, hatuthaminiani, hatupendi haki, tunatanguliza maslahi yetu na familia zetu.
Ukipitia...
Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.
Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza...
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
Kwa nini kesi iahirishwe mpaka tarehe 20 Novemba wakati upelelezi umekamilika?
Upelelezi ukikamilika kinachofuata ni kusoma maelezo ya awali yaani Ph.
Sasa hapa kwa nini kesi itajwe tar 20? Hapa mazingira ya rushwa.
Soma Pia:
Afisa wa TRA aliyemjeruhi mtu kwa Bastola aachiwa kwa Dhamana...
Benki ya Dunia, imemchagua Mtanzania, Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania, nafasi ambayo Tanzania imewahi kuihudumu miaka 54 iliyopita.
Uamuzi wa Dkt. Kibwe kuikwaa nafasi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.