aisee mazee dah
Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X...
Binafsi nitatumia haki yangu kutokupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Kuna watu hata sura moja ya katiba ya JMT hawajawahi kuisoma lakini wanakwenda kupiga kura, safi wanatumia haki yao, Mimi katiba karibu yote nimeisoma nimeamua kukaa nyumbani au kwenda kazini...
Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani.
Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani unapambana na askari unachezea kichapo halafu unakufa Ili wachaga wale mema ya nchi aisee Hilo swala...
Wasomi kwa wajinga, vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu.
Nilidhani uchaguzi mkuu ni kipaumbele cha wajinga tu kumbe wasomi ndio zaidi.
Wateule wanapomsifu Rais aliyewateua mwishoni hugusia uchaguzi mkuu.
Wapinzani wataongea yote mwishoni watagusa uchaguzi...
Jamhuri ya muungano.
Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa kingali kimevurugwa kiasi, akasema "natamani Oral interview ifanyiwe huku pia. Nikamuuliza "why...
Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023
TZ (TCRA)
2020 51.2 million
2021 54.0 million
2022 60.2 million
2023 67.0 million
KE(CA)
2020 57.0 million
2021 60.1 million
2022 63.3 million
2023 66.1 million
UG(UCC)
2020 29.1 million
2021 30.2 million
2022 31.5 million
2023 32.8 million...
Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na...
Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo.
Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu?
Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio...
Wingi wa vitambulisho inatoa tafsiri gani? Mimi kama BabaMorgan hii ndio list ya vitambulisho nilivyonavyo.
1. Nida
2. Driving license
3. Vote Id
4. Kitambulisho Cha kazi(ofisini)
5. Kitambulisho Cha kazi(TPA)
6. Kitambulisho Cha kazi(Terminal 2)
7. Kitambulisho Cha kazi (Taffa)
8. CRDB ATM...
Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujia.
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa akilitetea hata Bara zima la Afrika hususani vijana wa ki Afrika, na kwa hakika wengi walitamani kuwa kama kijana huyo...
🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu.
Kiukweli kunahaja wananchi...
Loliondo FM
Loliondo FM
Habari za Jumla
Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi
Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi
7 May 2024, 11:17 am
Mwenyekiti wa bodi yawakurugenzi NCAA katikati jenerali Venance Mabeyo wakati wa ukagunzi wa ujenzi wa jingo la NCAA Karatu, picha...
Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard
Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na miundo mbinu ambayo haipo popote pale Africa.
Asilimia 90% ya vitu vilivyotumika katika ujenzi...
Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja.
Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali.
Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.