Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza huduma za upandikizaji mimba kupitia maabara mapema mwaka huu, baada ya mchakato muhimu kukamilika.
Huduma hiyo iitwayo In Vitro Fertilization (IVF), inaanzishwa Novemba mwaka huu, ikiwa ni takribani miaka mitano tangu kuanza kwa maandalizi...